UTABIRI WA JUMATATU 17, APRILI 2023
🙏🏾Tag au watumie rafiki, mpenzi na ndugu zako wajue nini kinaweza kutokea kwa watu wa nyota zao. Kama ni mazuri wajiandae na kama kuna tahadhari basi wazipate mapema.
🌠 Itumie siku yako vizuri, fahamu kuwa haitakaa ijurudie. Changamkia kila mtu, kuwa mkarimu, msikivu na zaidi ya yote enjoy maisha.
🌠 Usitishike kama mambo yahajakaa sawa ila ishi kwa tahadhari na zingatia sala ili Mungu akuongoze.
🌠 Nyota sio Dini, ni sayansi ya kusoma jinsi Duniani inavyokwenda kila siku kwa kulingana na hali ya Sayari na mvutano nishati mbali mbali.
🌠 Kama hujaona nyota yako hapa, soma post iliyopita au inayofuata.
#nyotazetu #Tanzania #unajimu #utabiriwanyota #ndoo #samaki #kondoo #ngombe #mapacha #kaa #simba #mashuke #mizani #nge #mshale #mbuzi
#nyota #nyotazetu #utabiriwanyota #ndoo #samaki #kondoo #ngombe #mapacha #kaa #simba #mashuke #mizani #nge #mshale #mbuzi
Best YouTube to MP3 Converter
Tube MP3 is the leading converter which allows you to convert YouTube videos to MP3 files with just a few clicks. It supports high quality MP3 up to 320kbps. Enjoy listening to your favorite YouTube songs in offline mode.