YouTube MP3 Converter

YouTube Video to MP3 Converter

Thumbnail for EXCLUSIVE: UKWELI KUHUSU DARAJA LA MITI LA MILIONI 31 MOROGORO

EXCLUSIVE: UKWELI KUHUSU DARAJA LA MITI LA MILIONI 31 MOROGORO

Baada ya kusikia huko Morogoro kwenye Kijiji cha Isago, Kata ya Mngeta, Jimbo la Mlimba Wilayani Kilombero daraja la miti limejengwa kwa MILIONI 31 wengi walihamaki na kuhisi kuna upigaji umetokea.

Reporter  wako Millard Ayo  alifunga safari hadi kijijini Isago, umbali wa kilometa 305 kutoka Morogoro Mjini na kuweka kambi kwa muda kuomba kupewa hesabu ya hiyo fedha milioni 31 imetumikaje, Meneja wa TARURA Kilombero Injinia Robert Magogo na Mbunge wa Jimbo hilo Godwin Kunambi waliketi kueleza yote kupitia AYO TV na millardayo.com

"Kulingana na Gharama ndio maana tumeanza daraja ambao hili sio la kudumu ni la mbao kama tungejenga la chuma ama la Zege gharama ingekuwa ni kubwa  kiasi kwamba itabidi tuombe Pesa Serikali Kuu ambayo ingechukua muda sana"- Injinia Robert Magogo

"Daraja hili la Mbao kutoka hapa juu mpaka lilipoishia chini ni kama Mita 6 na kama tungejenga daraja la chuma kwa uzoefu wangu basi gharama kukamilika ni Bilioni 1 na tulishafanya hivyo kwenye mto kiansi na kama la tungejenga la Zege basi lingegharimu kama shilingi Bilioni 3"- Injinia Robert Magogo

"Mbao zilizotumika hapa ni aina ya mkarati sifa zake kwamba upo imara hata kama ukikaa kwenye maji, idadi ya magogo yaliyotumika hapa 121 ambayo yana urefu wa mita 7 kwa unene usiopungua futi moja kwasababu zinatofautiana kuna nyingine ni nene zaidi na nyingine ni nyembamba lakini haipungui zaidi ya futa mita moja , mbao ziko 245 lakini kwa size tofauti"- Injinia  Robert Magogo

🎵

Unlimited Downloads

Without the download limit, we are the best! Convert YouTube videos anytime, anywhere, no matter where you are. Your favorite videos will be ready for download in just a few seconds

⚡️

Convert YouTube to MP4

Convert and download YouTube videos with Tube MP3 fast, easy and secure! Get free music with our YouTube Converter.

📱

Most platforms supported

Most platforms supported including Windows, Android, iPhone and Mac.

🛡️

Various Quality Selections

Tube MP3 supports 5 different quality, including 64, 128, 192, 256 and 320kbps. You can select any of them, the most downloaded quality is 128kbps. The default quality of 128kbps is recommended because it sounds great and does not take so much space.

🔄

No Registration Required

It's not necessary to create an account to convert YouTube videos to MP3 format. Our Online Converter is free for anyone, without any restrictions.

🆓

High Compatibility

Tube MP3 is optimized for all browsers such as Chrome, Microsoft Edge, Firefox, Safari and Opera.

Best YouTube to MP3 Converter

Tube MP3 is the leading converter which allows you to convert YouTube videos to MP3 files with just a few clicks. It supports high quality MP3 up to 320kbps. Enjoy listening to your favorite YouTube songs in offline mode.

YouTube converter, YouTube downloader, YouTube to mp3, YouTube mp3, YouTube to mp4, YouTube video converter, convert YouTube, download YouTube, YT1s, YouTube to MP3, Youtube Downloader, MP3, MP4, 3GP, 320kbps, snappea, Convert YouTube to MP3 Free, Tube Mp3, Youtube Conversor, Converter Mp3, y2meta